Hello! Maswali Yako yote yamejibiwa😊

1. Mbona Video Kwangu haziplay– Kama video kwako haiplay jaribu kubadilisha mtandao, Au kuwasha VPN.

2. Jinsi ya kuondoa Pop up ya “Tazama Tangazo“- Shughuli zetu pia zinaendeshwa Kwa Gharama kubwa tu hivyo tunajitahidi kuhandle gharama hizo Kwa wewe kuangalia Tangazo. Kuondoa hio pop up, kwanza bonyeza neno Tazama Tangazo na utatolewa nje ya app na kupelekwa kwenye browser Yako kule ambapo tangazo lipo. Wewe itakubidi ufatishe tangazo linachohitaji kama kubonyeza button zake zote utakazo ziona. Ukishavuta sekunde kadhaa unaweza Rudi kwenye app na kuendelea kufurahia content Yako.

3.Nashindwa Kudownload Movie SwahiliPlay na Nikisearch Movie Sizipati– Kama unapitia changamoto hio tafadhali bonyeza hii LINK ukajifunze jinsi ya kusearch na kudownload movie bila shida

4.Mpira wa Bongo Kuganda ganda ukiwa live– Tunalitambua hilo natunalifanyia kazi, litasuluhishwa mda sio mrefu

5. Mbona magame yanauzwa na sio Bure– Magame hayo mengi ni mod na watu kama wewe Ndio kazi zao ambapo hukesha hata mwaka mzima kuliunda, kulitoa game Hilo Bure ni kama tunawakatisha tamaa wazalishaji hao hivyo sisi tutakuuzia Kwa bei ya chini.

4. Mbona SpeedPlay haifanyi kazi– Wenda Server ziko kwenye Maboresho, hivyo vuta subra

🤩Kama unashida nyingine tofauti, I comment hapo chini, itatolewa ufafanuzi ndani ya masaa 12🤩

Leave your comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

10 Comments

  1. Ahh inazingua sanaaa Yani Kila ukitaka kuplay kitu inakwmbia katazame tangazo na Fanya unchoambiwa lkn unenda mbaka mwsh na ukiludi mambo ndo Yale Yale Yani Inazngua Sanaa alafu mbaya zaid tangazo unakuta hata halieleweki linataka nn Yani dah munakata stimu kinoma Yani😡

    1. utakua unajaribu kulog in kama mtu mwenye account ndo maana ina kataa, kwenye hilo eneo la ku log in angalia kwa chini utaona neno register, ulibonyeze ndo utafungua account

  2. Kuna movie zingine ukizifungua ukitaka kudawnload haina ile option hiyo kwann unakuta tu open link tena hizi movie mpya. Na ukirudi nyuma kwenye page kama ulikuwa kwenye movie ya mbele basi unarudi nyuuma kabisa kiukweli hiii app ina boa kama vp mui update ikae sawa