Reviews
81 %
User Score
Rate This
Descriptions:
Imetafsriwa na: DJ Mack
Katika Star Trek: Sehemu ya 31, Mtawala Philippa Georgiou anajiunga na kitengo cha siri cha Starfleet chenye jukumu la kulinda Shirikisho la Sayari za Muungano, na lazima akabiliane na dhambi za maisha yake ya zamani.