Msaada
APP YA SWAHILIPLAY INAVYOFANYA KAZI
SwahiliPlay Movies – Kila Movie inauzwa Tzs 700. Ukifungua movie ukailipia hakikisha unaiangalia yote kabla ya kutoka, Au kuidownload kabisa. Maana ukifunga bila kufanya hivyo baadae ukirudi , itabidi ulipie tena.
Mpira Online – Hapa Tunaonesha Mechi za Mpira. Ambapo Ligi za Nje kuzitazama ni bure, lakini ligi za ndani kuzitazama mpaka ulipie. Ukilipia usitoke mpaka mechi yote iishe. Ukitoka ukaja kurudi baadae utabidi ulipie tena
GameStore– Hapa Tunauza Magame, Ukishalipia Game, Link mwishoni utapewa lakini sio moja kwa moja. Baada ya malipo Utapelekwa Whatsapp ambapo huko itabidi uchague mtu yoyote umbonyeze kisha umtumie hizo link kama eneo la uhifadhi. Kushindwa kufanya hivyo Hutoziona link za game ulilo linunua
WakubwaTu/ChimboTata – Kila Video/Movie Utakayoibonyeza utailipia Tzs 1,000 kuitazama, Ukitoka ukarudi baadae itabidi ulipie tena.