
Mr Zombie (Zombie Detective)
Imetafsiriwa na: DJ Skills (2020)
Mchezo wa kuigiza ni “ucheshi wa kibinadamu” kuhusu Zombie katika mwaka wake wa pili wa kufufuka ambaye anakuwa mpelelezi katika kufuatilia maisha yake ya zamani, wakati wote akifanya kila awezalo kuishi pamoja na wanadamu.
Reviews
84 %
Mbona hakuna move za kitanzania Kuna move za wazuungu tu hapo amuoni kuwa mnakataa kwenu na mnashabikia vya watu wengine?ni mawazo tu ndugu zangu maana chaneli yenu imetulia sana nimependa sana mnavyotafsili
Tunaweka soko linachotaka zaidi, tutalifanyia hilo kazi pia
Swahili play I like it