Reviews
72 %
User Score
Rate This
Descriptions:
Imetafsriwa na: DJ Mack (2022)
Kundi la wataalam wa mitandao ya kijamii wameajiriwa kusaidia biashara ya zamani ya familia kustawi. Lakini hivi karibuni wanajikuta wamekwama kwenye kisiwa kidogo katika ziwa ambalo mchawi wa kale wa Uswidi anasemekana kuishi.