Reviews
71 %
User Score
Rate This
Descriptions:
Imetafsiriwa na: DJ Black (2019)
Muuguzi anapopakua programu inayodai kutabiri wakati ambapo mtu atakufa, inamwambia kwamba ana siku tatu pekee za kuishi. Huku saa ikiyoyoma na sura ikimsumbua, lazima atafute njia ya kuokoa maisha yake kabla ya muda kuisha.