Bridal Mask
Bridal Mask 01
Imetafsiriwa na: DJ Mack (2012)
Katika miaka ya 1930 Korea, wakati wa enzi ya ukoloni wa Kijapani, mwanamume ambaye ni afisa wa polisi wa Korea aliyepewa jukumu la kuwasaidia Wajapani katika kuangamiza uasi wa wenyeji, anavaa ‘Mask ya Bibi’ kwa siri na kupigana na utawala usio wa haki.
Reviews
73 %